Bustani ya Jeevanjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeabzsha makala
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:20, 19 Agosti 2012

Bustani ya Jeevanjee ni bustani ya wazi katika Wilaya ya Kati ya Biashara mjini Nairobi, Kenya. Bustani ya Jeevanjee ilianzishwa na A M Jeevanjee, mwana raslimali mzaliwa wa Asia aliyekuwa na mfanya biashara nchini Kenya.[1]

Virejeleo

  1. "Michigan State University Press : Zarina Patel". msupress.msu.edu. 2012. Iliwekwa mnamo 19 August 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)