Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza wa:Sint På
Mstari 36:
{{Agano Jipya}}
Kati ya barua nyingi alizoandikwa kwa makanisa ya [[Thesalonike]], [[Korintho]], [[Galatia]], Roma, [[Filipi]], [[Kolosai]], [[Efeso]], kwa viongozi Wakristo kama [[Timotheo]] na [[Tito]], tena kwa [[Filemoni]], katika [[Agano Jipya]] zinatunzwa 13.
 
Ukubwa na ubora wa mchango wa Paulo unaeleweka tukizingatia kwamba alifanya kazi na kuandika kabla ya vitabu vya Agano Jipya kupatikana. Ndiye aliyeanza kuliandika akipanua mawazo aliyoyapokea katika Kanisa kwa kuzingatia [[Agano la Kale]] na [[mang’amuzi]] yake mwenyewe.
 
Hapo alifafanua vizuri ajabu maisha ya Kikristo kama neema ya kumshiriki [[Yesu]] kwa [[imani]], [[sakramenti]] na juhudi za kushinda [[umimi]] hadi kugeuka [[sadaka]] hai, takatifu na ya kumpendeza [[Mungu]].
 
[[Wokovu]] huo, utakaokamilika katika [[ufufuko]] wa [[mwili]], unapatikana katika Kanisa, ambalo Paulo alilitambulisha kama [[bibiarusi]] wa [[Kristo]] na mwili wake.
 
==Marejeo==