Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
 
Baada ya kufanya utume katika mazingira ya [[Kiarabu]], Tarsus na [[Antiokia]] alianza kufanya safari za kitume, akienda mbali zaidi na zaidi, akilenga kumhubiri [[Yesu]] mahali ambapo bado hajafahamika, hata [[Hispania]].
 
Ilikuwa kawaida yaKE kuanzisha [[Kanisa]] katika miji mikubwa ili toka huko [[ujumbe]] ufike hadi vijijini.
 
Muda wote wa [[utume]] wake Paulo alipambana na [[dhuluma]] kutoka kwa Wayahudi wenzake na matatizo mengine kutoka Wakristo wenye msimamo tofauti na wa kwake hasa kuhusu haja ya kufuata masharti ya [[Agano la Kale]] ili kupata [[wokovu]].