Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: yo:Episteli sí àwọn ará Rómù
No edit summary
Mstari 5:
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Umuhimu wake==
Kati ya maandiko matakatifu ya [[Agano Jipya]] na ya [[Biblia]] kwa jumla, barua ya [[Mtume Paulo]] kwa [[Wakristo]] wa [[Roma]] ina umuhimu wa pekee uliokusudiwa naye mwenyewe.
 
==Mazingira==
Ingawa yeye[[Paulo]] alikaa [[Efeso]] miaka mitatu, [[moyo]] wake wa [[umisionari|kimisionari]] haukutulia kwa sababu alikumbuka alivyotabiriwa atafanya [[kazi]] hata mbali zaidi.
 
Ndiyo maana alitaka kwenda [[Ulaya magharibi]], yaani [[Roma]] na halafu [[Hispania]], [[nchi]] iliyohesabika kuwa mwisho wa [[dunia]]. Ila kabla ya kwenda huko alipanga kuwaletea Wakristo wa [[Yerusalemu]] mchango wa wenzao wa mataifa.
 
Basi, mwishoni mwa miezi mitatu aliyokaa [[Korintho]] ([[Mdo]] 20:2-3) akijiandaa kupanda [[meli]], yaani mwanzoni mwa mwaka [[58]], Paulo aliwaandikia Wakristo wa Roma ili kuandaa [[utume]] atakaoufanya katika [[jiji]] hilo.
Ila kabla ya kwenda huko alipanga kuleta mchango kwa Wakristo wa [[Yerusalemu]].
 
Basi, mwishoni mwa miezi mitatu aliyokaa [[Korintho]] (Mdo 20:2-3) yaani mwanzoni mwa mwaka 58, Paulo aliwaandikia Wakristo wa Roma ili kuandaa utume atakaoufanya katika jiji hilo ambapoHuko [[Ukristo]] uliingia toka mwanzo kabisa, ukiletwa na baadhi ya [[Wayahudi]] wengi walioishi hukoRoma ambao [[ubatizo|walibatizwa]] [[Yerusalemu]] kwenye [[Pentekoste]] ya mwaka [[30]].
 
Wayahudi wote walipofukuzwa mwakana [[Kaisari Klaudio]] ([[49]]), Wakristo wa mataifa mengine wakabaki ndio wengi, nao ndiowakaachana walioandikiwana baruamasharti hiyombalimbali miakaza 9[[Uyahudi|Kiyahudi]], baadayekama yale kuhusu vyakula.
 
[[Muda]] mfupi baada ya Klaudio kufa ([[54]]), Wayahudi walianza kurudi, kumbe wakakuta mabadiliko hayo makubwa ndani ya [[Kanisa]], nao wakajiona wamewekwa pembeni kidogo, kama si kudharauliwa na Wakristo wa mataifa.
Mtume Paulo akijua umuhimu wa Roma, mji mkuu wa ulimwengu wa zamani hizo, aliwaandikia Wakristo wa huko barua ndefu tena nzito kuliko zote.
 
Mtume Paulo akijua [[umuhimu]] wa Roma, [[mji mkuu]] wa [[ulimwengu]] wa zamani hizo, aliwaandikia Wakristo wa huko [[barua]] ndefu tena nzito kuliko zote.
Ingawa haina mafundisho yote ya Paulo, imechangia [[teolojia]] ya Kikristo kwa kiasi kikubwa, hasa upande wa magharibi.
 
Alitaka kuwaeleza kwa maandishi ya mpango mafundisho yake kuhusu [[wokovu]], kwa sababu walikuwa wamesikia habari tofautitofauti juu yake bila ya kukutana naye.
Kwa namna ya pekee inajibu maswali kuhusu [[wokovu]]: unapatikana kwa njia gani? Kwa nini Wayahudi wengi walishindwa kumuamini [[Yesu]] ili kuupata? Kwa nini mataifa yameupokea badala yao? Aliyepata wokovu anaishi vipi? Je, Wayahudi wametupwa moja kwa moja?
 
Pamoja na kuwaandaa hivyo wampokee vizuri, alichukua nafasi ya kuimarisha [[umoja]] wao ulioingia [[dosari]].
Ndiyo sehemu kuu ya barua (Rom 1:16-32; 2:1-29; 3:9-20; 3:21-31; 4:1-8; 4:23-25; 5:1-21; 6:1-14; 7:7-25; 8:1-39; 9:1-5; 11:1-36).
 
Akiandika kwa [[utulivu]] mkubwa kuhusu mambo aliyokwishawaongelea kwa [[hasira]] [[Wagalatia]], Paulo aliweza kuinua pande zote mbili za [[Kanisa]] hilo zielewe zaidi [[fumbo]] la mpango wa [[Mungu]] kwa ajili ya watu wote, na hivyo ziheshimiane kwa [[upendo]], ulio [[utimilifu]] wa [[Torati]].
Kabla yake kuna salamu (1:1-8) na shukrani.
 
Hasa aliwaonya Wakristo wa mataifa wasidharau [[Wayahudi]], kwa sababu hao bado ni wateule wa Mungu.
Sehemu ya pili ni mawaidha mbalimbali Rom 12:1-2,9-21; 13:8-14) yakifuatwa na taarifa na salamu.
 
==Mpangilio na mada==
Ingawa haina mafundisho yote ya Paulo, barua hii imechangia [[teolojia]] ya Kikristo kwa kiasi kikubwa, hasa upande wa [[magharibi]].
 
Kwa namna ya pekee inajibu kinaganaga maswali kuhusu [[wokovu]]: unapatikana kwa njia gani? Kwa nini Wayahudi wengi walishindwa kumuamini [[Yesu]] ili kuupata? Kwa nini mataifa yameupokea badala yao? Aliyepata wokovu anaishi vipi? Je, Wayahudi wametupwa moja kwa moja?
 
Ndiyo sehemu kuu ya barua ([[Rom 1]]:16-32; 2:1-29; 3:9-20; 3:21-31; 4:1-8; 4:23-25; 5:1-21; 6:1-14; 7:7-25; 8:1-39; 9:1-5; 11:1-36), ambayo inafuata [[salamu]] (1:1-8) na [[shukrani]].
 
Paulo alisisitiza kwamba wote ni wakosefu na wanaweza kuokolewa na Mungu tu: hiyo ni [[neema]] tupu, maana hakuna anayeweza kuistahili kwa [[juhudi]] zake.
 
Neema hiyo tunaipata kwa kumuamini [[Yesu]] ambaye alikufa akafufuka kwa ajili yetu ili sisi tuishi upya kwa ajili yake tukiongozwa na [[Roho Mtakatifu]].
 
Chini yake Mkristo atafanya mema mengi na makubwa kuliko yale yanayodaiwa na Torati, ambayo ni njema lakini haitutii [[nguvu]] ya kuitekeleza.
 
Upande wa mataifa, toka mwanzo Mungu aliwapa [[mwongozo]] mwingine wa maisha, yaani [[dhamiri]].
 
Hata hivyo pande zote mbili zilishindwa kufaidika na miongozo hiyo wakahitaji [[msaada]] bora zaidi ili kumpendeza Mungu.
 
[[Uadilifu]] sasa unapatikana kwa [[imani]] na [[ubatizo]] katika [[kifo]] na [[ufufuko wa Yesu]].
 
Sehemu[[Maadili]] mema yatafuata kama ma[[tunda]], na Paulo kama kawaida anayaeleza hasa katika sehemu ya pili niambayo ina [[mawaidha]] mbalimbali (Rom 12:1-2,9-21; 13:8-14), yakifuatwa na taarifa na salamu.
 
==Kiungo cha nje==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Rom]]