David Rudisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
boresha makala
nimeboresha makala
Mstari 1:
'''Daudi Lekuta Rudisha''' (aliyezaliwa 17 Desemba 1988) ni Mkenya mkimbiaji wa umbali wa kati.Yeye ndiye anashikilia rekodi ya Olimpiki na ya dunia ya mbio za mita 800.<ref name = "800m all-time">{{cite web |title= Men's 800 Metres All-Time List |url= http://www.iaaf.org/statistics/toplists/inout=o/age=n/season=0/sex=M/all=y/legal=A/disc=800/detail.html |publisher= International Association of Athletics Federations|,AAF.org |accessdate= 11 August 2012 }}</ref>
==Maisha ya awali==
Alizaliwa mjini Kilgoris, Wilaya ya Trans Mara nchini [[Kenya]].Rudisha alienda shule ya St Patrick,shule ya upili ya Kimuron huko Iten, Wilaya ya Keiyo, ambayo inajulikana kwa kuwalea wakimbiaji kadhaa ikiwa ni pamoja na Wilson Kipketer aliyekuwa ameshikilia rekodi ya mbio za mita 800m kwa miaka kadhaa kabla ya Rudisha kujiunga na shule hiyo. Mnamo Aprili 2005 Japheth Kimutai alipendekeza Rudisha kwa James Templeton, na Rudisha akajiunga na kundi la wakimbiaji linalosimamiwa na Templeton.<ref name="footsteps">IAAF, 13 September 2009: [http://www.iaaf.org/WAF09/news/kind=103/newsid=54336.html Rudisha: Following in the footsteps of Konchellah and Kipketer?]. Retrieved 23 August 2010.</ref>