Abrahamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza lb:Abraham
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rembrandt Harmensz. van Rijn 035.jpg|thumb|right|250px|Mchoro wa [[Rembrandt]], ''Sadaka ya Isaka'', [[1635]].]]
'''Abrahamu''' (pia: '''Ibrahimu''' na awali '''Abram''') huheshimiwa katika [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kama kielelezo cha mtu wa [[imani]], rafiki wa [[Mungu]]. Aliishi miaka 1800 hivi [[K.K.]] huko [[Mashariki ya Kati]]. [[Picha:Offerismail.jpg|thumbnail|Picha ya Abrahamu katika Kurani]]
 
'''Abrahamu''' (pia:au '''Ibrahimu''' na awali '''Abram''' (kwa [[Kiebrania]]: אַבְרָהָם He-Avraham, Avraham, ʼAḇrāhām, Avrohom au Avruhom, kwa [[Kiarabu]] إبراهيم Ibrahim) huheshimiwa katika [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kama kielelezo cha mtu wa [[imani]], rafiki wa [[Mungu]]. Aliishi miaka 1800 hivi [[K.K.]] huko [[Mashariki ya Kati]]. [[Picha:Offerismail.jpg|thumbnail|Picha ya Abrahamu katika Kurani]]
 
== Abrahamu katika Biblia ==
Line 26 ⟶ 28:
Mwa 24 inasimulia kirefu jinsi Abrahamu kabla hajafa alivyomfanyia mpango wa ndoa Isaka kufuatana na mila zao, ila alikataza kabisa asirudi kwao, bali kwa vyovyote abaki katika nchi ile aliyoahidiwa na Mungu. Hivyo imani izidi kuongoza uzao wake kama ilivyomuongoza mwenyewe. Isaka akawa mrithi wa Abrahamu. Watoto 12 wa mwanae [[Yakobo]] ni chanzo cha makabila 12 wa [[Israeli]]. Hivyo Abrahamu huangaliwa pia kama babu wa Wayahudi wote.
 
===Sala yake (Mwa 18:27)===
 
"Nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu".
 
== Ibrahimu katika Qurani ==
[[Picha:Offerismail.jpg|thumbnail|Picha ya Abrahamu katika Kurani.]]
 
Hata katika Uislamu Abrahamu-Ibrahimu ni kielelezo muhimu cha imani. Kwenye [[Qurani]] hutajwa mara kwa mara katika sura 25 na mistari 245. Kwa jumla habari zake zimekuwa tofauti na taarifa za Biblia lakini heshima inalingana.
 
Habari zinazosumuliwa katika Biblia juu ya Isaka, baba wa Waisraeli, pengine hurudia kwenye Qurani na kutafsiriwa na wengi kuwa zilimhusu Ismaeli, kaka yake na baba wa Waarabu. Anaaminiwa kuwa alijenga [[Kaaba]] kama [[msikiti]].
 
==Marejeo==
{{Refbegin|indent=yes}}<!--BEGIN biblio format. If indent param. is used, Pls use a colon (:) instead of asterisk (*) for bullet markers in the references list -->
 
:{{cite book|last=Alter|first=Robert|title=The five books of Moses|year=2008|publisher=W. W. Norton|location=New York|isbn=9780393333930|url=http://books.google.com.au/books?id=ZcMhkJ8a708C&printsec=frontcover&dq=he+Five+Books+of+Moses&hl=en&ei=s7bATsiWFYjHmQX_6LXKBA&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CDgQ6AEwAA#v=onepage&q=Hellenisitic&f=false|coauthors=a translation with commentary|author-link=Robert Alter|edition=Paperback ed.|ref=harv}}
:{{cite book
|last1 = Andrews
|first1 = Stephen J.
|authorlink =
|chapter = Abraham
|editor1-last = Mills
|editor1-first = Watson E.
|editor2-last = Bullard
|editor2-first = Roger A.
|title = Mercer Dictionary of the Bible
|year = 1990
|publisher = Mercer University Press
|url = http://books.google.com.au/books?ei=HAQjUOXUHeLYigffsIHACw&id=goq0VWw9rGIC&dq=dictionary+bible&q=Abraham#v=snippet&q=Abraham&f=false
|ref = harv
}}
:{{cite book
|last1 = McNutt
|first1 = Paula
|authorlink =
|title = Reconstructing the Society of Ancient Israel
|year = 1999
|publisher = Westminster John Knox Press
|url = http://books.google.com.au/books?id=hd28MdGNyTYC&printsec=frontcover&dq=Reconstructing+the+Society+of+Ancient+Israel&source=bl&ots=aF71ff25t4&sig=EBa_WBg_DnTeAgChDdoIiEVOR2o&hl=en&sa=X&ei=uRsiUOXhL6-wiQfpoYHQAw&ved=0CDQQ6AEwAA#v=onepage&q=Reconstructing%20the%20Society%20of%20Ancient%20Israel&f=false
|ref = harv
}}
:{{cite book
|last1 = Moore
|first1 = Megan Bishop
|last2 = Kelle
|first2 = Brad E.
|authorlink =
|title = Biblical History and Israel's Past
|year = 2011
|publisher = Eerdmans
|url = http://books.google.com.au/books?id=Qjkz_8EMoaUC&printsec=frontcover&dq=Biblical+History+and+Israel%27s+Past&hl=en&sa=X&ei=t43IT7L8NIzJmAXoxpX-Dg&ved=0CEAQ6AEwAQ#v=onepage&q=Biblical%20History%20and%20Israel%27s%20Past&f=false
|ref = harv
}}
{{Refend}}
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/1544/Abraham "Abraham."] Encyclopædia Britannica Online. 29 May 2011.
* [http://www.aug.edu/augusta/iconography/abraham.html "Abraham"] in ''Christian Iconography''
* [http://www.azamra.org/Earth/mount-03.html Abraham smashes the idols] Accessed 24 March 2011
*[http://www.miamiartmuseum.org/collection-selected-segalgeorge.asp Abraham's Farewell to Ishmael. ''George Segal.'' Miami Art Museum. Collections: Recent Acquisitions.] Accessed 10 April 2011.
*[http://www.bible-art.info/Hagar.htm Abraham, Hagar and Sarah Paintings portrayed at Bible Art.] Accessed 10 April 2011
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]