Tofauti kati ya marekesbisho "Kitabu cha Yeremia"

198 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
 
Kwa kawaida Yeremia alitabiri kinyume cha matazamio madanganyifu ya watu, lakini walipokata tamaa akawatuliza na kutabiri heri. Basi, [[kilele]] cha mafundisho yake na ya [[Agano la Kale]] lote ni kwamba Mungu atafunga na Israeli yote Agano Jipya (31:31-34).
 
===Sala yake (Yer 15:16)===
 
'Maneno yako yalionekana, nami nikayala;
na maneno yako yalikuwa ni furaha kwangu,
na shangwe ya moyo wangu,
maana nimeitwa kwa jina lako, Ee Bwana, Mungu wa majeshi".
 
==Mwisho wa unabii wake==