Kitabu cha Hekima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza vi:Sách Khôn Ngoan
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Hekima''' au '''Hekima ya Solomoni''' ni cha mwisho kuandikwa (miaka 50 hivi K.K.) katika ya vitabu vya [[deuterokanoni]] vya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Hupangwa kati ya [[vitabu vya hekima]], kichwa kinavyodokezwa.
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mwandishi==
Ingawa mwandishi anajidai kuwa [[mfalme Solomoni]] ili kutia maanani ujumbe wake, wataalamu wanasema lugha fasaha na mawazo vinaonyesha wazi asili yake katika mazingira ya [[Kigiriki]] ya [[Aleksandria]] ([[Misri]]).
 
Alikuwa Myahudi msomi katika [[dini]], [[falsafa]] na [[maadili]].
 
==Mafundisho==
Kati ya michango yake upande wa [[teolojia]] kuna fundisho la kutokufa kwa [[roho]], lakini pia utabiri juu ya mateso ya [[Yesu]] na umilele wa [[Hekima]] ya [[Mungu]].
 
==Sala ya kujiombea hekima (Hek 9:1-6)==
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
"Ee Mungu wa baba zetu, Bwana, mwenye kuihifadhi rehema yako,
umevifanya vitu vyote kwa neno lako;
na kwa Hekima yako ukamwumba mwanadamu,
ili avitawale viumbe vilivyoumbwa nawe,
na kumiliki ulimwengu katika utakatifu na kwa haki,
na kutoa hukumu kwa unyofu wa moyo.
Nakusihi unipe Hekima,
ambayo huketi karibu nawe katika kiti chako cha enzi,
wala usinikatae mimi miongoni mwa watumishi wako;
mimi niliye mtumwa wako, na mwana wa mjakazi wako,
mtu dhaifu asiye na siku nyingi,
wala sina nguvu ya kufahamu hukumu na sheria.
Kwa maana mtu ajapokuwa ni mkamilifu miongoni mwa wanadamu,
pasipo Hekima itokayo kwako atahesabiwa kuwa si kitu".
 
{{DEFAULTSORT:Hekima}}