Benjamin Mkapa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza io:Benjamin Mkapa; cosmetic changes
Mstari 15:
'''Benjamini William Mkapa''' (amezaliwa [[12 Novemba]], [[1938]]) ni [[Rais]] wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] (1995-2005) na Mwenyekiti wa zamani wa [[Chama Cha Mapinduzi]], CCM (Revolutionary State Party).<ref name="PBS">[1] ^ [http://www.pbs.org/wgbh/commandingheights/shared/minitextlo/prof_benjaminmkapa.html "Benjamin Mkapa",] Microsoft Encarta Encyclopedia 2001, [[WGBH (FM),]] pbs.org, ilitolewa 19-Oktoba-2009</ref>
 
== Wasifu ==
Mkapa ni mhitimu wa [[Chuo Kikuu cha Makerere]].<ref name="PBS" /> Nafasi alizoshikilia zamani ni pamoja na kuwa afisa wa utawala huko [[Dodoma]] na Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu. Yeye pia aliongoza ujumbe wa Tanzania huko [[Marekani]] na alikuwa Waziri wa [[Mambo ya Nje]] kutoka 1977 hadi 1980 na kutoka 1984 hadi 1990.<ref>[http://dsctanzania.org/mkapa.html Benjamin Mkapa,]</ref>
 
Mstari 28:
Aliteuliwa katika Bodi ya Wadhamini ya Chuo cha Aga Khan mwezi Novemba 2007.<ref name="aku">[10] ^ [http://www.aku.edu.pk/university/bot/bwm.shtml "Mheshimiwa Benjamin William Mkapa",] Bodi ya Wadhamini, Chuo cha AKU, ilitolewa 19-10-2009</ref>
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.commissionforafrica.org/english/commissioners/bios/mkapa.html Benjamin Mkapa bio] katika Tume ya Afrika
 
Mstari 42:
{{Tume kwa Afrika}}
 
== Viungo vya nje ==
{{wikiquote|Benjamin Mkapa }}
*[http://www.pbs.org/wgbh/commandingheights/shared/minitextlo/int_benjaminmkapa.html 2001 mahojiano na ''Public Broadcasting Station'' ]
Mstari 67:
[[gl:Benjamin Mkapa]]
[[hi:बेंजामिन उम्कापा]]
[[io:Benjamin Mkapa]]
[[it:Benjamin Mkapa]]
[[ja:ベンジャミン・ウィリアム・ムカパ]]