Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Simplifying links ([link|linktext] → [link]text)
Mstari 24:
Majeshi ya ZAPU, yalifanya mambo mengi ya matumizi ya nguvua katika kuiondoa madarakani serikali ya Rhodesia. Moja kati ya mambo yanayasadikika kuwa ni ya kinyama zaidi kuwahi kutokea ni pamoja na mauaji katika ndege za abiria. Ya kwanza yalitokea tarehe 3/09/1978 na kuua watu 38, kati ya watu 56, na wengine kumi wakijeruhiwa, ikiwa ni oamoja na watoto. Waliobaki hai, walitembea kutoka kuotka eneo hilo hadi Kariba kiasi cha umbali wa kilometa 20.
Baadhi ya wasafiri walikuwa wamejeruhiwa vibaya, ,na baadhi alichukuliwa na polisi wa jeshi la Rhodesia,
Jaribio la pili lilikuwa tarehe 12/02/1979 na kuua watu 59, papo hapo, lakini malengo ya shambulizi la pili yalikuwa kwa ajili ya Peter Walls mkuu wa COMOPS (Commander Combined Operations) aliikuwa aliyekuwa anahusika na vifaa maalumu kama vile. [[Special Air Service]]SAS Walls alipokea tiketi ya kuondoka na ndege ya pili kutokana na idadi kubwa ya watalii, ndege ambayo iliondoka Kariba dakika 15, baada ya ndege iliyopotea. Hakuna mtu aliyeshitakiwa kwa makosa ya ndege kupotea kutokana na kutolewa kwa msamaha kutoka kwa Smith na Mugabe.
 
Katika mahojiano ya Televisheni, muda mfupi baada ya kupotea kwa ndege nyingine, ambapo, akiwa anacheka Nkomo alitania kuhusiana na matukio hayo na kuhakikisha kuwa ZAPU ndio wanaohusika na mashambulizi ya ndege mbalimbali. Katika vitabu vyake mbalimbali kama vile ‘’Story of my Life’’ kilichochapishwa mwaka 1985, Joshua Nkomo ameelezea masikitiko yake kuhusiana na mashambulizi ya ndege zote mbili
 
 
===Siasa===