Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 33:
Chama cha ZAPU, kiligawanyika mwaka 1963, wakati wengine walihisi mgawanyiko huo ulikuwa ni kutokana na masuala ya Kikabila, lakini zaidi inaonesha kuwa mgawanyiko huo ulitokana na kushindwa kwa Sithole, Mugabe, Takawira na Malianga kuchukua madaraka ya ZAPU kutoka kwa Nkomo. ZAPU kikabaki chama chenye mjumuisho wa makabila mengi hadi kupatika kwa uhuru.
 
Serikali ambayo haikwa maarufu ilioyitwa Zimbabwe-Rhodesia ilioyokuwa inaongozwa na Abel Muzorewa iliundwa mwaka 1979kati ya Ian Smith na Ndabaningi Sithole’s . ZANU ambyoambayo kwa wakati huo, ilikuwa tayari imeshagawanyika kutokakutokana kwana Mambo ya kijeshi ya Mugabe. Lakini vita ilioyanzishwa na Nkomo na Mugabe viliendelea bila kupiganwa. Na Uingereza pamoja na Marekani havikuweka vikwazo katika nchi hiyo
Uingereza ulivishawishi vyama hivyo kwenda katika Lancaster House mwezi wa tisa mwaka 1979, kwa ajili ya kuanzisha katiba na kuitisha uchaguzi upya. Mugabe na Nkomo walifanya makubaliano yaliyoitwa Patriotic Front (PF) katika makubaliano yaliyoendeshwa na Lord Carrington. Uchaguzi ulifanyika mwaka 1980, na katika macho ya wengi chama cha ZAPU kilichokuwa kinaongozwa na Nkomo kilishindwa katika uchaguzi huo na chama cha ZANU kilichoongozwa na Mugabe
Matokeo ya uchaguzi huo. Yaliweka vyama vyote viwili ZAPU na ZANU katika vyama vinavyoegamia mfumo wa kikabila , yaani chama cha ZANU kikiwa na iadi kubwa ya ya kabila la Shona na chama cha ZAPU kikiwa na idadi kubwa ya kabila la [[Ndebele]] Nkomo alikaribishwa katika sherehe ya uraisi lakini alikataa.