Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 42:
Wakati Mugabe alipopewa kiti kwa ajili ya kukaa alimwambia Nyerere. "If you think I'm going to sit right where that fat bastard just sat, you'll have to think again" yaani “ kama unadhani naweza kukaa hapa na huyo mpumbavu alieakaa hapo, inabidi ufikirie tena”
Kutoka na hali hiyo, mkazo uliongezwa kati ya mahusiano yao, mapigano kati ya chama cha ZANLA na ZIPRA yaliongezeka na kuongeza kutoelewana kati ya hawa watu wawili
Hatimaye, baada ya majadiliano ya muda mrefu na kukataliwa mara kadhaa, Nkomo hatimaye alichaguliwa katika baraza la mawaziri, lakini mwaka 1982, alishtakiwa kwa kosa la upangakupanga mainduzimapinduzi ya kijeshi, baada ya mawakili kutoka Afrika ya Kusini kwenda [[Zimbabwe]] central Intelligence Organisation, kujaribu kutengeneza kuotkuaminianakutokuaminiana kati ya vyama vya ZAPU na chama cha ZANU, waliweka kwa kukusudia silaha katika mashamba yanayomilikwa na chama cha ZAPU na kwenda kutoa taarifa kwa Mugabe juu ya kukutwa kwa silaha katika katika mashamba hayo
Katika hotuba yake, Mugabe alisema “ZAPU and its leader Dr. Joshua Nkomo, are like a cobra in a house the only way to deal with effectively with a snake is to strike and destroy its head ” yaani “ZAPU na kiongozi wake, Dr Joshua Nkomo ni kama nyoka ndani ya nyumba, njia pekee ya kufanya kwa nyoka na kumshambulia na kuharibu kichwa chake”
Aliagiza kikosi cha jeshi kwa eneo analokaa Nkomo, yaani katika ardhi ya Matebele katika oparesheni ya Gukurahundi na kuua wandebele 3,000 katika jaribio la kutokomeza chama cha ZAPU na kutengeneza serikali chini ya chama kimoja.