Wafinisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza
Mstari 2:
'''Wafinsia''' walikuwa taifa la [[Nyakati za Kale]] walioishi kwenye mwambao wa mashariki wa [[Bahari ya Mediteranea]]. [[Miji-dola]] yao yalikaa katika eneo la nchi za kisasa [[Lebanoni]] na [[Syria]].
 
Wafinisia walitumia Kifinisia iliyokuwa [[lugha ya Kisemiti]] iliyopoteaambayo ilipotea baada ya kusambaa kwa [[Kiarabu]] tangu karne ya baadaye7.
 
Walikuwa wafanyabiashara na mabaharia hodari sana. Walijenga utajiri wao juu ya biashara ya ubao kutoka milima ya Lebanoni. Hasa miti ya aina ya seda (''cedrus libani'') ilitafutwa sana.