John Njue : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
1986 aliteuliwa kuwa askofu wa dayosisi ya Embu. Kati ya 1987 na 1991 akawa mwenyekiti wa kamati za maendeleo na huduma za jamii , pia ya kamati ya haki na amani chini ya [[Ofisi Kuu ya Wakatoliki Kenya]].
 
Mwaka 2002 akawa askofu mkuu msaidizi wa dayosisi kuu ya [[Nyeri]]. Baada ya kuondoka kwa askofu mkuu [[Raphael S. Ndingi Mwana'a a'Nzeki]] aliyehamishwa Nairobi alishika nafasi ya Askofu Mkuu.
 
Mwaka 2007 alimfuata Mwana'a a'Nzeki katika nafasi ya askofu mkuu wa Nairobi.
 
[[Category:Maaskofu wakatoliki wa Kenya]]