Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 50:
[[Uadilifu]] sasa unapatikana kwa [[imani]] na [[ubatizo]] katika [[kifo]] na [[ufufuko wa Yesu]].
 
Hiyo njia mpya ya Mungu kuwaokoa watu wote haiendi kinyume cha ahadi zake kwa Israeli ya Kale. Paulo anathibitisha hilo kwa hatua nne akitumia madondoo mengi ya Agano la Kale. Hamzungumzii Myahudi mmojammoja, bali wote jumla; wala hazungumzii jukumu lao kuhusu kifo cha Yesu.
[[Maadili]] mema yatafuata kama ma[[tunda]], na Paulo kama kawaida anayaeleza hasa katika sehemu ya pili ambayo ina [[mawaidha]] mbalimbali (Rom 12:1-2,9-21; 13:8-14), yakifuatwa na taarifa na salamu.
 
[[Maadili]] mema yatafuata kama ma[[tunda]]matunda, na Paulo, kama kawaida ya Wakristo wa kwanza, baada ya [[ujumbe]] au fundisho la [[imani]], anayaeleza hasa katika sehemu ya pili ambayo ina [[mawaidha]] mbalimbali (Rom 12:1-2,9-21; 13:8-14), yakifuatwa na [[taarifa]], [[salamu]] na salamu[[doksolojia]].
 
Kwa kuwa Paulo hakuwafahamu vizuri Wakristo wa Roma, maneno yake ni ya jumla na si ya mpango. Hasa ni kwamba madai ya [[Torati]] hayawezi kuongoza mwenendo wa Mkristo, lakini huyo anatakiwa kuzingatia anavyodaiwa hasa [[upendo]] kwa wote.
 
Maisha ya Mkristo yawe [[ibada]] kwa [[Mungu]] katika [[Roho Mtakatifu]]. [[Umoja wa Kanisa]] unamdai ajitahidi kushinda mabaya kwa mema. Kila [[kiungo]] cha [[mwili]] huo mmoja anadaiwa [[juhudi]] kwa ajili ya [[ustawi wa wote]] ili [[maisha]] yawe [[sadaka]] kwa Mungu.
 
Akigusa zaidi maisha ya [[Kanisa la Roma]] ya wakati huo, yaliyovurugwa na masuala madogomadogo kuhusu vyakula na [[sikukuu]], Paulo alidai wenye nguvu watekeleze upendo kwa walio dhaifu zaidi, pamoja na [[busara]], uelewa, mfano wa [[Yesu]] na [[uaminifu]] kwake.
 
Maelekezo hayo yanaweza kusaidia daima kukabili mvutano wowote kati ya wenye mitazamo tofauti (finyu na mpana, au wa kizamani na wa kisasa zaidi). Lengo ni ule [[umoja]] uliofundishwa katika [[sura]] nane za kwanza.
 
==Kiungo cha nje==