Okavango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:رود اوکاوانگو
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza af:Okavangorivier; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:DeltaOkavango.jpg|thumb|left|300px|Delta ya Ovango inavyoonekana kutoka angani]]
{{Mto | jina = Mto wa Okavango
| picha = Okavango River Sign.jpg
Mstari 20:
'''Okavango''' (pia: Okovango; katika Angola: [[Kubango]] au Cubango) ni [[mto]] wa [[Afrika]] ya kusini-magharibi. Inaanza nchini [[Angola]] katika milima ya Bié inapojulikana kwa jina la [[Kubango]]. Mwendo wake wa 1600 km ni kusini tu hadi jangwa la [[Kalahari]] inapoishia kwenye [[delta ya barani]]. Katika kusini ya Angola ni mpaka na [[Namibia]]. Inapita nchi ya Namibia mwanzoni wa [[kishoroba ya Caprivi]] na kuendelea Botswana inapoishia jangwani katika [[delta]] yake.
 
Jina la mto limepatikana kutoka kabila la Wakavango.
 
Chanzo cha mto ni kusini ya mji wa Vila Nova (Angola) katika milima ya Bié kwenye kimo cha 1,780 m. Mwanzoni mwendo wake ni ya haraka kuna maporomoko madogo. Halafu mto ni mpaka kati ya Angola na Namibia. Baada ya kupokea tawimto wa Kwito inaingia Namibia inapopita kanda nyembamba ya kishoroba ya Caprivi kwa kilomita chache. Kabla ya kuvuka mpaka wa Botswana mto unashuka mita 4 kwenye [[maporomoko ya Popa]].
Mstari 26:
Takriban 70 km ndani ya Botswana mwendo wa mto unapanuka na kugawanyika kuwa delta ya barani yenye zaidi ya 16,000 km².
 
== Viungo vya nje ==
'''''en:''''' [http://www.waterandnature.org/eatlas/html/af18.html Okavango Basin (Watersheds of Africa)]
 
[[CategoryJamii:Mito ya Angola]]
[[CategoryJamii:Mito ya Namibia]]
[[CategoryJamii:Mito ya Botswana]]
 
[[af:Okavangorivier]]
[[ar:نهر أكفانجو]]
[[be:Рака Акаванга]]