Mtume Thoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
'''Thoma''' au '''Didimo''', yaani '''[[Pacha]]''' ni [[jina]] la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]] anayeheshimiwa kama [[mtakatifu]], kwa namna ya pekee na [[Ukristo|Wakristo]] wa maeneo yaliyokuwa mashariki kwa [[Dola la Roma]], kuanzia [[Iraq]] hadi [[India]].
 
Inawezekana kwamba sababu yake ni kazi alizofanya huko hadi [[kifodini]] chake huko [[Chennai]] ([[Tamil Nadu]]) mwaka [[72]].
 
Alikuwa mtu mwenye [[tabia]] ya pekee iliyomvutia umaarufu hadi leo. Hasa alielekea kukata tamaa, kupinga hoja na kutosadiki kwa urahisi. Hata hivyo, [[Injili ya Yohane]] ambayo ndiyo inayomzungumzia zaidi katika [[Biblia ya Kikristo]], inaripoti jibu lake la mwisho kwa [[Yesu]] mfufuka kama ifuatavyo(Yoh 20:28): "Bwana wangu na Mungu wangu"!
 
==Marejeo==