Mtakatifu Paulo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
Angali kijana alisomea [[ualimu wa Sheria]] (yaani wa [[Torati]]) huko [[Yerusalemu]] chini ya mwalimu maarufu [[Gamalieli]] wa [[madhehebu]] ya [[Mafarisayo]].
 
Akishika [[dini]] yake kwa msimamo mkali akawa anapinga [[Ukristo]] kwa kuwakamata, kuwatesa na hata kuwaua Wakristo, kama vile [[Stefano Mfiadini]] mpaka alipotokewa na [[Yesu Kristo]] mfufuka akiwa njiani kwenda [[Damaski]] (kwa umuhimu wake katika [[Historia ya Wokovu]] habari hii inasimuliwa mara tatu katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]]: 9:1-19; 21:12-18 na 22:5-16). Jibu lake kwa Yesu lilikuwa (Mdo 22:10): "Nifanye nini, Bwana?"
 
== Baada ya uongofu ==