Martino wa Tours : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 8:
'''Martino wa Tours''' ([[Savaria]], [[Panonia]], leo [[Hungaria]]
[[316]] - [[Candes-Saint-Martin]], [[Gaul]], leo [[Ufaransa]] [[397]]) alikuwa [[mmonaki]], halafu [[askofu]] (kuanzia [[371]] hadi [[kifo]] chake).
Alipokaribia kifo, walimuomba asiondoke, naye akasali hivi: "Ee Bwana, nikihitajiwa bado na watu wako, sikatai uchovu wa kazi: utakalo lifanyike!"
Maisha yake yaliandikwa na [[Sulpicius Severus]] yakawa kielelezo cha vitabu juu ya watakatifu.
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa tarehe [[11 Novemba]], ila kwa Waorthodoksi tarehe [[11 Oktoba]].
Line 32 ⟶ 34:
{{mbegu-Mkristo}}
[[Category:Waliozaliwa 316]]
|