Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: vi:Giêrôminô
No edit summary
Mstari 19:
== 'Vulgata' ==
Vulgata, tafsiri ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]] katika [[Kilatini]] ndiyo kazi yake muhimu zaidi. Aliianza kwa agizo la [[papa Damaso I]] mwaka [[382]], akaimaliza baada ya miaka 23. Tafsiri hiyo ilitumika kama msingi wa tafsiri nyingine nyingi hadi [[karne ya 20]].
 
==Sala yake==
Ee Bwana, umetupatia Neno lako kama nuru ambayo iangazie njia yetu;
utujalie tulitafakari Neno lako na kufuata mafundisho yake
hivi kwamba tuone hiyo nuru inazidi kuangaza hadi adhuhuri,
kwa njia ya Kristo Bwana wetu.
 
== Vyanzo ==