Metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Takriban mnamo [[1200 KK]] watu wa kwanza walianza kutumia chuma. Maarifa haya yalienea katika pande nyingi za dunia.
 
[[Image:Chino copper mine.jpg|thumb|right|250px|Mgodi mkubwa wa kupri katika [[New Mexico]] (Marekani)]]
==Kupatikana kwa metali==
Metali zapatikana mara nyingi ndani ya miamba mbalimbali kama [[mtapo]]. Kunatokea pia ya kwamba zapatikana kama metali tupu. Lakini njia ya kawaida ni kuvunja mwamba mwenye mtapo ndani yake na kutoa metali kwa njia ya joto au kwa kutumia kemikali.