Muungo metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|200px|Muungo au mbabadi metali hupatikana katika metali kama [[kupri kutokana na kani katika elektroni huria]] '''Muungo metali''' (pia: '''mbab...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Metallic bond Cu.svg|thumb|right|200px|Muungo au mbabadi metali hupatikana katika metali kama [[kupri]] kutokana na kani katikakati ya elektroni huria yenye chaji ya hasi na viini vya atomi vyenye chaji ya chanja.]]
 
'''Muungo metali''' (pia: '''mbabadi metali''') ni namna jinsi [[atomi]] za [[metali]] zinavyoskikana. Kani hii yatokana na [[elektroni]] huria zinazotembea kati ya atomi na kuvutwa na [[ioni]] za kiini.
 
Kwa metali elektroni za [[mzingo elektroni]] wa nje hazishikwa sana na kiini hivyo ni rahisi kuachana na atomi asilia na kuzunguka katika metali yote. Viini vya atomi vyenye chaji ya chanja vinajipanga katika mfumo maalumu unaofanana na [[fuwele]]. Elektroni zazunguka katika mfumo huu kama wingu.
 
Halii hii ya kuwa na elektroni huria yaeleza tabia za metali kama vile kuwa wayaikaji, kung'aa na kupitisha joto pia umeme kirahisi. Elektroni huria zapitisha nichati kama joto au umeme haraka na nyepesi ndani ya metali - tofauti na dutu ambako kila elektroni yashikwa imara katika atomi yake.