Fransisko Saveri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
 
Anaheshimiwa na [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] pia.
 
==Sala yake==
Ee Mungu wa mataifa yote ya dunia,
uukumbuke umati wa Wapagani ambao,
ingawa waliumbwa kwa sura yako,
hawajakufahamu wewe wala kifo cha Mwanao Yesu Kristo, mwokozi wao.
 
Fanya kwamba, kwa sala na kazi za Kanisa lako takatifu,
wakombolewe kutoka ushirikina wote na utovu wa imani
wakaletwe kwenye ibada zako.
 
Kwa njia ya yule uliyemtuma awe ufufuo na uzima wa watu wote,
huyo Mwanao Yesu Kristo, Bwana wetu.
 
==Tanbihi==