John Henry Newman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: pl:Jan Henryk Newman
No edit summary
Mstari 34:
 
Juu ya [[kaburi]] lake yameandikwa maneno ya [[Kilatini]] aliyoyachagua mwenyewe kama muhtasari wa maisha yake aliyoyaona kama [[safari]] kuelekea [[ukweli]]: ''Ex umbris et imaginibus in veritatem'' (''Kutoka vivuli na mifano hadi ukweli'').
 
==Sala yake==
Mungu wangu uliyetuumba,
ulijua kwamba wewe tu unaweza kutushibisha;
basi umeamua kujifanya chakula na kinywaji chetu.
 
Fumbo abudiwa kuliko yote! Huruma ya ajabu kuliko zote!
 
Wewe mwenye utukufu, uzuri, nguvu na utamu kuliko wote
ulijua fika kwamba chochote kingine
kisingeweza kutegemeza umbile letu lisilokoma, mioyo yetu dhaifu;
kwa hiyo ulitwaa mwili na damu ya kibinadamu, hivi kwamba,
vikiwa mwili na damu ya Mungu, viweze kuwa uhai wetu...
 
Naja kwako, Bwana, sio tu kwa sababu pasipo wewe sina raha,
si tu kwa sababu najitambua ninakuhitaji,
bali kwa sababu neema yako inanivuta
nikutafute kwa ajili yako mwenyewe, kwa jinsi ulivyo mtukufu na mzuri.
 
Naja kwa uchaji mkubwa, lakini kwa upendo mkubwa zaidi.
 
== Maandishi ==