Ludoviko IX : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Louis IX alivyochorwa na [[El Greco 1592–1595 hivi.]] [[File:SaintLouisSainteChapelle.jpg|thumb|right|Sanamu ...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:louis-ix.jpg|thumb|right|200px|Louis IX alivyochorwa na [[El Greco]] [[1592]]–[[1595]] hivi.]]
[[File:SaintLouisSainteChapelle.jpg|thumb|right|Sanamu ya Mt. Ludoviko IX huko Paris, [[Ufaransa]].]]
[[Image:San Domenico47.jpg|thumb|
[[File:Basilique du Sacré-Cœur de Montmartre 5.jpg|thumb|
'''Ludoviko IX''' ([[Poissy]], karibu na [[Paris]], Ufaransa, [[25 Aprili]] [[1214]] – [[Tunis]], [[Tunisia]], [[25 Agosti]] [[1270]]), maarufu kama '''Mtakatifu Alois''', alikuwa [[mfalme]] wa [[Ufaransa]] tangu [[1226]] hadi [[kifo]] chake.
Ni mfalme pekee wa nchi hiyo kutangazwa [[mtakatifu]] (na [[Papa
Anahesabiwa kuwa mtawala bora wa [[Ukristo|Kikristo]] kwa jinsi alivyojalia [[ibada]], alivyoheshimu [[ndoa]] yake, alivyohudumia wananchi, hasa maskini na wagonjwa, na alivyotetea [[Wakristo]] waliodhulumiwa. Alifariki dunia kwa [[tauni]] aliyoambukizwa kwa kuwahudumia [[askari]] zake wakati wa [[vita vya msalaba]].
Line 35 ⟶ 37:
[[Category:Wafalme wa Ufaransa]]
[[Category:Watakatifu wa Ufaransa]]
{{Link FA|hu}}
|