Hildegarda wa Bingen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hildegard.jpg|thumb|right|200px|Hildegarda akipata [[njozi]] na kumsimulia [[karani]] wake.]]
'''Hildegarda wa Bingen, [[O.S.B.]]''' ({{lang-de|link=no|Hildegard von Bingen}}; kwa [[Kilatini]] Hildegardis Bingensis) alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka [[Ujerumani]] wa leo ([[Bermersheim vor der Höhe]], [[Dola Takatifu la Kiroma]], [[1098]] hivi<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 9.</ref> - [[Bingen am Rhein]] [[17 Septemba]] [[1179]]).<ref>Bennett, Judith M. and Hollister, Warren C. ''Medieval Europe: A Short History'' (New York: McGraw-Hill, 2001), 317.</ref>
 
Toka zamani [[abesi]] huyo anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] kama [[mtakatifu]]. [[Papa Benedikto XVI]] amethibitisha [[utakatifu]] wake tarehe [[10 Mei]] [[2012]].<ref>[http://www.uscatholic.org/news/2012/05/pope-recognizes-hildegard-saint-advances-causes-us-bishop-nun Catholic News Service]</ref><ref>[http://www.catholicculture.org/news/headlines/index.cfm?storyid=14287 Vatican newspaper explains 'equivalent canonization' of St Hildegard of Bingen]</ref> [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[17 Septemba]].
 
==Maisha==
Hildegarda alizaliwa na Hildebert na Mechthilde katika [familia]] ya kisharifu kama mtoto wa kumi, mgonjwa tangu mwanzo.<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 17.</ref>
 
Katika kitabu chake ''Maisha'', Hildegarda anasimulia kwamba utotoni alianza kupata [[njozi]] akiwa na miaka 3 tu, na kwamba alipofikia miaka 5 alianza kutambua kuwa ni [[karama]] kutoka kwa [[Mungu]].<ref name="Ruether, Rosemary Radford 2002">Ruether, Rosemary Radford. ''Visionary Women'' (Minneapolis: Augsburg Fotress, 2002), 7.</ref><ref>Underhill, Evelyn. ''Mystics of the Church'' (Pennsylvania: Morehouse Publishing, 1925), 77.</ref>
 
Labda kwa sababu hiyo wazazi wake walimtoa kwa [[Mungu]] akiwa na umri wa miaka 8-14 amtumikie kanisani chini ya [[Jutta von Sponheim]].<ref>Newman, Barbara. ''Voice of the Living Light'' (California: University of California Press, 1998), 53.</ref><ref>Michael McGrade, "Hildegard von Bingen", in ''Die Musik in Geschichte und Gegenwart: allgemeine Enzyklopaldie der Musik,'' 2nd edition, T.2, Vol. 8, ed. Ludwig Fischer (Kassel and New York: Bahrenreiter, 1994).</ref>
 
Hakuna kumbukumbu za miaka 24 aliyoishi na Jutta.<ref>Reed-Jones, Carol. ''Hildegard of Bingen: Women of Vision'' (Washington: Paper Crane Press, 2004), 8.</ref>
 
Kwa vyovyote, walikuwa wamejifungia huko [[Disibodenberg]], katika [[msitu]] wa [[Palatinate]]. Jutta pia alikuwa na njozi, jambo lililovutia wengi kumtembelea.
 
Jutta alimfundisha kusoma na kuandika, lakini hakuweza kumsaidia katika ufafanuzi wa [[Biblia]].<ref>Ruether, Rosemary Radford. ''Visionary Women'' (Minneapolis: Augsburg Fotress, 2002), 6.</ref>
 
Inawezekana kuwa wakati huo ndio alipojifunza [[muziki]] na kuanza [[utunzi]] wake.<ref>Reed-Jones, Carol. ''Hildegard of Bingen: Women of Vision'' (Washington: Paper Crane Press, 2004), 6.</ref>
 
Baada ya Jutta kufariki mwaka [[1136]], Hildegarda alichaguliwa na wamonaki wenzake kwa [[kauli moja]] kuwa "magistra" (yaani mwalimu na kiongozi) wa [[jumuia]] yao ya kike.<ref>Furlong, Monica. ''Visions and Longings: Medieval Women Mystics'' (Massachusetts: Shambhala Publications, 1996), 84.</ref>
 
Hapo alimuomba [[Abati Kuno wa Disibodenberg]] aweze kuhamia hali ya kifukara zaidi huko [[Rupertsberg]].<ref>Furlong, Monica. ''Visions and Longings: Medieval Women Mystics'' (Massachusetts: Shambhala Publications, 1996), 85.</ref>
 
Alipokataliwa, alimkimbilia [[Askofu mkuu]] Henry I wa [[Mainz]]: hatimaye akakubaliwa na abati<ref>McGrade, "Hildegard", ''MGG.''</ref> akahamia na wenzake 20 hivi katika [[monasteri]] ya Rupertsberg mwaka [[1150]], ambapo [[paroko]] [[Volmar]] akawa [[muungamishi]] na [[karani]] wake.
 
Mwaka [[1165]] Hildegarda alianzisha monasteri nyingine huko [[Eibingen]].
 
==Njozi==
Ingawa Hildegarda alisema haiwezekani kuyasimulia aliyojaliwa kujua kwa mwanga wa Mungu kupitia [[hisi]] zake<ref>Schipperges, Heinrich. ''Hildegard of Bingen: Healing and the Nature of the Cosmos'' (New Jersey: Markus Wiener Publishers, 1997), 10.</ref> na alisita kuyashirikisha Hildegard<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 55.</ref> mwaka [[1141]], akiwa na miaka 42, alisadiki Mungu amemuagiza ayaandike yote.<ref>Ruether, Rosemary Radford. ''Visionary Women'' (Minneapolis: Augsburg Fotress, 2002), 8.</ref>
 
Hata hivyo aliendelea kusita<ref>Hildegard von Bingen, ''Scivias,'' trans. by Columba Hart and Jane Bishop with an Introduction by Barbara J. Newman, and Preface by Caroline Walker Bynum (New York: Paulist Press, 1990) 60–61.</ref>
 
Kitabu cha ''[[Maisha]]'' yake kilianza kuandikwa na Godfrey wa Disibodenberg chini ya usimamizi wa Hildegarda.
 
Kati ya Novemba [[1147]] na Februari [[1148]], wakati wa [[Sinodi]] ya [[Trier]], [[Papa Eugenio]] alipata habari za maandishi hayo akayathibitisha kuwa mafunuo ya [[Roho Mtakatifu]].
 
Alipofariki tarehe 17 Septemba 1179, masista wenzake walisema kuwa waliona miali miwili ya mwanga kutoka angani na kupitia chumba chake.
 
==Filamu juu yake ==