Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: bat-smg:Nairobis
No edit summary
Mstari 23:
 
[[Picha:25332612.nairoboi013.JPG|thumb|260px|Jomo Kenyatta]]
'''Nairobi''' ni [[mji mkuu]] wa [[Kenya]] na vilevile mojawapo ya mikoa ya Kenya. Ni kati ya miji mikubwa ya [[Africa]] ukiwa na wakazi wapatao milioni 3. Kulingana na sensa ya 2009, Nairobi ina wakaaji 3,138,295 katika eneo la 150696 [[km²km2]] (269 sq mi). Pamoja na votongoji vyake, Nairobi ni mji wa 12 kwa ukubwa barani [[Africa]] Jina Nairobi limetokana na neno la [[Kimaasai]], Enkarenairobi, linalomaanisha "mahali penye maji baridi."
 
Lugha zote za Kenya huzungumzwa Nairobi lakini hasa ni [[Kiingereza]] na [[Kiswahili]], pamoja na [[Sheng]].