Kismayu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza he:קיסמאיו; cosmetic changes |
No edit summary |
||
Mstari 17:
}}
'''Kismayu''' (pia: '''Kismayo''' au ([[Kisomali]]: '''Kismaayo''') ni mji katika
== Historia ==
Mji ulianzishwa na [[Wabajuni]] waliokuwa [[Waswahili]] Wabantu. [[Wasomali]] wenyewe walichelewa kufika eneo hili.
Katika karne za kati, Kismayu ilikuwa chini ya serikali ya [[Ajuuraan]] iliyokuwa ikutawala eneo kadhaa za [[Somalia]].
Kismayu pamoja na pwani ilikuwa chini ya masultani wa [[Zanzibar]] tangu 1835 [[BK]]. Kati ya 1875 hadi 1876 Kismayu ilitawaliwa na [[Misri]].
|