Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
| Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu
| Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata
| He that does not heed the elderly advice, evil befalls him .
|-
| Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea
Mstari 18:
| Aliye juu,mngojee chini
| Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli.
| Pride comes before athe fall .
|-
| Usimwamshe aliyelala utalala wewe.
Mstari 30:
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
| Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe.
| You can't judge how many bugs are in a bed that you're not sleeping in.
|-
| Afadhali dooteni,kama ambari kutanda.
| Afadhali kibaya kidogo ulichonacho,kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata.Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho,ingawaje kidogo.
| Better the little you own than a lot that you don't or can't archieve.
|}