Argentina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 190.49.57.69 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Xqbot
Mstari 52:
footnotes = ¤ Argentina ina fitina na [[Uingereza]] kuhusu visiwa vya [[Falkland]] (Malvina), [[South Georgia and the South Sandwich Islands]] na sehemu ya [[Antaktika]].
}}
[[Picha:ViñedoCafayate.jpg|thumb|left|250px|[[Mkoa wa Salta|Salta]]]]
[[Picha:Ar-map.png|thumb|left|250px|Ramani ya Argentina]]
 
'''Argentina''' ni nchi kubwa ya pili ya [[Amerika Kusini]] yenye eneo la 2,791,810 [[km²]] kati ya milima ya [[Andes]] upande wa magharibi na [[Bahari ya Atlantiki]] upande wa mashariki. Imepakana na [[Paraguay]], [[Bolivia]], [[Brazil]], [[Uruguay]] na [[Chile]].