Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Methali''' ni aina ya usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na [[jamii]] kuwa wa kweli na unaotumiwa kufumbia au kutolea mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa.
 
Kila Taifa[[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake, baadhi ya methali za kiswahili[[Kiswahili]] ni kama;: mfichaMficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.
 
==Methali za Kiswahili==
{| class="wikitable sortable"
|-
! Methali !! Maana/Matumizi!! TaafsiriTafsiri ya Kizungu[[Kiingereza]]
|-
| Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu.
| Asiyefuata ushahuriushauri wa wakuu wake, mabaya humpata.
| He that does not heed the elderly advice, evil befalls him.
|-
| Aisifiaye mvua, ujue imemnyeshea.
| Hutumika kuashiria mtuMtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambuaameshatambua utamu wake.
| He that praises rain,has seen it.
|-
| Aliye juu, mngojee chini.
| Anayejitapa ashafauluameshafaulu maishani, punde atafeli.
| Pride comes before the fall.
|-
| Usimwamshe aliyelala, utalala wewe.
| usimkumbusheUsimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani, maanakemaana utalisahau wewe .
| Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself.
|-
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti.
| Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye ni maiti.Inatufahamisha kuwa aijuayeAijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo.
| The discomfort of the grave is only known by the deceased.
|-
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
| Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo, yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shidaShida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe.
| You can't judge how many bugs are in a bed that you're not sleeping in.
|-
| Afadhali dooteni, kama ambari kutanda.
| Afadhali kibaya kidogo ulichonacho, kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata. Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho, ingawaje kidogo.
| Better the little you own than a lot that you don't or can't archieve.
|}
Mstari 44:
 
[[Category:Fasihi]]
[[Jamii:Kiswahili]]
 
{{Lien BA|no}}
 
[[af:Spreekwoord]]