Tito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|Mt. Tito askofu. [[File:Crete Iraklio6 tango7174.jpg|thumb|Kan...'
 
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Crete Iraklio6 tango7174.jpg|thumb|Kanisa lake huko [[Heraklion]].]]
 
'''Tito''' ni mmojawapo kati ya viongozi wa kwanzakwanza wa [[Kanisa]], akiwa mwenzi na mwandamizi wa [[Mtume Paulo]], anayetajwa katika [[nyarakaNyaraka]] zake mbalimbali.
 
Alikuwa naye huko [[Antiokia]] akaongozana naye kwenye [[Mtaguso wa Yerusalemu]],<ref>Wagalatia 2:1-3; Matendo 15:2</ref> ingawa jina lake halitajwi katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]].
Mstari 8:
Kabla [[ubatizo|hajabatizwa]] alikuwa [[Mpagani]], hivyo Paulo alikataa kabisa dai la kwamba [[tohara|atahiriwe]] ili [[wokovu|aokoke]].
 
Kadiri ya Nyaraka, baadaye alikuwa naye [[Efeso]], akatumwa [[KorintoKorintho]].<ref>2 KorintoKorintho 8:6; 12:18</ref>
 
Walikutana tena [[Makedonia]],<ref>{{Bibleverse-nb|2|Corinthians| Korintho 7:6-15}}</ref> halafu akawa kisiwani [[Krete]] ili kuimarisha uongozi wa Kanisa.<ref>{{Bibleverse||Titus|Tito 1:5}}</ref>
 
Habari za mwisho ni kwamba alikwenda [[Dalmatia]].
Mstari 18:
Mapokeo yanasema Paulo alimpa [[daraja]] ya [[uaskofu]] kwa ajili ya [[Gortyn]] huko Krete, na kwamba alifariki mwaka [[107]], akiwa na umri wa miaka 95.
 
Tangu mwaka [[1969]], [[Kanisa Katoliki]] la Kilatini linamwadhimisha pamoja na [[Timotheo]] tarehe [[26 Januari]], siku inayofuata ile ya [[Uongofu wa Mt. PaulOPaulo]].<ref>''Calendarium Romanum'' (Libreria Editrice Vaticana, 1969), uk. 116</ref>
 
==Tanbihi==