Mnara wa taa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza vi:Hải đăng
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Manora - TallestVypin Lighthouse of Pakistan P11008351.jpg|left|250px|thumb|Mnara wa taa nchini [[PakistanIndia]]]]
'''Mnara wa taa''' ni mnara au jengo refu kando ya bahari lenye taa kubwa juu yake. Kusudi lake ni kupatia [[meli]] baharini mwongozo wakati wa usiku. Nuru yake huonyesha njia ya kufika bandarini pia ni onyo ya kwamba pwani iko karibu.