Mkindo, Hembeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Kijiji cha mkindo kipo katika kata ya Hembeti, wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro.Kijiji hiki kina jumla ya shule za msingi mbili;Shule ya msingi mkindo A na Sh...'
 
+ viungo
Mstari 1:
Kijiji'''Mkindo''' ni kijiji cha mkindo[[Tanzania]] kipo katika kata ya [[Hembeti]], [[wilaya ya Mvomero]] mkoa wa [[Morogoro]].
Kijiji hiki kina jumla ya shule za msingi mbili;. Shule ya msingi mkindo A na Shule ya msingi mkindo B.
Pia kijiji kina zahanati moja na pia inagulio (soko la wiki) ambalo hufanyika kila juma mosi[[jumamosi]].

Shughuli kubwa ya wakaazi wake ni kilimo na zao kuu ni [[mpunga]] na [[mahindi]].

Kuna bonde kubwa la mpunga ambalo ni maarufu sana linaitwa MGONGOLAMgongola. Pia wananchi wanajishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika katika shamba linaloitwa SIDU.