Tuzo ya Nobel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Tuzo ya Nobeli hadi Tuzo ya Nobel: Jina la mtu ni "Nobel" siyo "Nobeli"
No edit summary
Mstari 4:
{{commons|Category:Nobel Prize winners|Washindi wa Tuzo ya Nobel}}
 
'''Tuzo ya NobeliNobel''' ni tuzo ya fedha kwa ajili ya mafanikio ya pekee katika fani mbalimbali. Ilianzishwa na [[Alfred Nobel]].
 
Tangu mwaka wa 1901 imetolewa kwa watu waliofaulu katika fani zifuatazo: [[Fizikia]], [[Kemia]], [[Tiba]] (au [[Fiziolojia]]), [[Fasihi]] na [[Amani]]. Tangu mwaka wa 1969, tuzo ya sita imeongezewa kwa [[Uchumi]]. Siku hizi Tuzo ya Nobeli ni tuzo ya kimataifa mashuhuri kabisa duniani.
Wanaotuzwa hupokea hati, medali ya dhahabu na kiasi cha pesa cha takriban € milioni 1,2 (kinategemea mapato ya riba kutokana na mfuko wa fedha iliyotengwa kwa kusudi hii na Alfred Nobel). Maazimio kuhusu tuzo za kila mwaka hutolewa kufuatana na wasia wa Alfred Nobel na kamati zifuatazo:
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Fizikia]] inateuliwa na Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya [[Sweden]]
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Kemia]] inateuliwa na Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Tiba]] inateuliwa na Karolinska Institutet [[Stockholm]]
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Fasihi]] inateuliwa na Taasisi ya Taaluma ya Sweden kwa lugha na fasihi
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Amani]] inateuliwa na kamati ya Nobel ya Norway iliyochaguliwa na Bunge la [[Norway]]
# [[Tuzo ya NobeliNobel ya Elimu ya Uchumi]] inateuliwa na Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden
===Orodha ya Washindi wa Tuzo ya NobeliNobel===
Watu walioshinda Tuzo ya NobeliNobel ni wafuatao:
1901 – [[Wilhelm Conrad Röntgen]] (Fizikia), [[Jacobus Henricus van’t Hoff]] (Kemia), [[Emil von Behring]] (Tiba), [[Sully Prudhomme]] (Fasihi), [[Henri Dunant]] na [[Frederic Passy]] (Amani);
Mstari 96:
1939 – [[Ernest Orlando Lawrence]] (Fizikia), [[Leopold Ruzicka]] na [[Adolf Butenandt]] (Kemia), [[Gerhard Domagk]] (Tiba), [[Frans Eemil Sillanpää]] (Fasihi), (hakuna tuzo kwa Amani);
(1940-42 Tuzo ya Nobel haikutolewa kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia.]].)
1943 – [[Otto Stern]] (Fizikia), [[Georg von Hevesy]] (Kemia), [[Henrik Dam]] na [[Edward Doisy]] (Tiba), (hakuna tuzo kwa Fasihi wala Amani);
Mstari 137:
[[Faili:Example.ogg]]
 
[[Jamii:Tuzo ya Nobel|*]]
[[Jamii:Sayansi]]
[[Jamii:Tuzo za Kimataifa]]