Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza mt:Madre Tereża ta' Kalkutta, my:မာသာ ထရီဆာ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:MotherTeresa 090.jpg|thumb|250px]|Mama Teresa mnamo 1990]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[ImagePicha:DPAG 2010 38 Mutter Teresa.jpg|thumb|right|[[Stempu]] iliyotelewa [[Ujerumani]] kwa [[ukumbusho]] wa miaka 100 tangu kuzaliwa kwake ([[2010]]); chini ya picha yake yamo maneno yake: ''«[[Ufukara]] haukuumbwa na [[Mungu]]. Sisi ndio tuliousababisha, wewe na mimi kwa njia ya [[umimi]] wetu.»'']]
'''Mama Teresa wa Kolkata''' ([[26 Agosti]] [[1910]] – [[5 Septemba]] [[1997]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyejulikana kimataifa hasa kutokana na [[huduma]] yake kwa watu [[maskini]] katika mji wa [[Kolkata]] ([[Uhindi]]) iliyofanya apatiwe [[tuzo ya Nobel ya Amani]].
 
Tarehe [[19 Oktoba]] [[2003]] alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Bado muujiza wa pili unahitajika ili atangaze kuwa [[mtakatifu]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] katika familia ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
Mstari 29:
Mama Teresa aliaga dunia tarehe 5 Septemba 1997 akafanyiwa mazishi ya kitaifa.
 
== Sala zake ==
Baba yetu, mwanao nipo hapa, tayari kwako
unitumie ili kuendelea kupenda ulimwengu kwa kuupatia Yesu
Mstari 58:
Amina.
 
== Maandishi yake ==
Baada ya kifo chake maandishi yake yaliyotolewa hadharani yakafichua [[siri]] ya maisha yake ya ndani, yaani kwamba alipitia kwa karibu miaka 50 mfululizo katika hali ngumu inayoitwa [[usiku wa roho]], bila ya hiyo kuweza kumzuia atabasamu muda wote.
* Teresa, Mother et al., ''Mother Teresa: In My Own Words''. Gramercy Books, 1997. ISBN 0-517-20169-0.
* Teresa, Mother & Kolodiejchuk, Brian, ''Mother Teresa: Come Be My Light'', New York: Doubleday, 2007. ISBN 0-385-52037-9.
 
== Marejeo ==
* Chawla, Navin. ''Mother Teresa''. Rockport, Mass: Element Books, 1996. ISBN 1-85230-911-3
* Chawla, Navin. ''Mother Teresa: The Authorized Biography'', Diane Pub Co. (March 1992), ISBN 978-0-7567-5548-5. First published by Sinclair-Stevenson, U.K. (1992), since translated into 14 languages in India and abroad. [[Languages of India|Indian language]] editions include [[Hindi]], [[Bengali language|Bengali]], [[Gujarati language|Gujarati]], [[Malayalam language|Malayalam]], [[Tamil language|Tamil]], [[Telugu language|Telugu]], and [[Kannada language|Kannada]]. The foreign language editions include [[French language|French]], [[German language|German]], [[Dutch language|Dutch]], [[Spanish language|Spanish]], [[Italian language|Italian]], [[Polish language|Polish]], [[Japanese language|Japanese]], and [[Thai language|Thai]]. In both Indian and foreign languages, there have been multiple editions. The bulk of royalty income goes to charity.
Mstari 113:
[[Jamii:Wenye heri wa India]]
 
{{Link FA|fi}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|fi}}
{{Link FA|hr}}
 
Mstari 177:
[[mr:मदर तेरेसा]]
[[ms:Agnes Gonxha Bojaxhiu]]
[[mt:Madre Tereża ta' Kalkutta]]
[[mwl:Madre Teresa de Calcutá]]
[[my:မာသာ ထရီဆာ]]
[[ne:मदर टेरेसा]]
[[nl:Moeder Teresa]]