Rujewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +en
historia ya rujewa kwa ufupi
Mstari 29:
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Wilaya ya Mbarali]]
HISTORIA YA RUJEWA
Jina rujewa linatokana na mtu mmoja wa kwanza kuishi rujewa aliyeitwa Mjewa,aliyekuwepo miaka mingi na familia yake wakaitwa Wajewa ndio hata leo hii Pakaitwa Rujewa,
WATAWALA WA JADI
kwakuwa wenyeji wa mwanzo hapa rujewa walikuwa Wasangu walikuwa na mtawala wao wa jadi aliyeitwa Chifu Merere.
Rujewa pia ni maarufu kwa kilimo cha mpunga hasa ukiangalia rujewa ndiko yaliko mashamba ya mbarali estate na mashamba ya mpunga ya kule kapunga,lakini pia wenyeji wa rujewa ni wasangu,wabena,wakinga na hata kuna waburushi kutoka pakistan ambao wamekuwa nao ni wenyeji hasa wa rujewa kwani hufanya shughuli kwa kushilikiana na wenyeji wa rujewa,
KIBIASHARA
rujewa inasifika kwa kutoa mchele mzuri kuliko eneo lolote la hapa tanzania,na baadhi ya mazao ya biashara yanayolimwa hapa rujewa ni kama alizeti,lakini pia rujewa inastawi mazao mengi ya chakula kama vile karanga,mahindi,ulezi nk
 
 
[[en:Rujewa]]