Uumbaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: tl:Alamat ng paglikha
No edit summary
Mstari 1:
'''Uumbaji''' ni tendo linalosadikika analiweza [[Mwenyezi]] [[Mungu]] tu kwa sababu ni kusababisha kitu kuwepo kutoka [[utovu wa vyote]].

Hivyo vitu vyote vimeanza kuwepo kwa uwezo wake tu, ingawa kwa kawaida vinatokana na vile vilivyotangulia (k.mf. wazazi).
 
Kwamba kiumbe kimeweza kikatokana na vingine namna hiyo haifuti [[ukweli]] kwamba kimeanza na kinaendelea kuwepo kwa uwezo wa [[Muumba]] aliyesababisha viumbe hivyo viwepo na kuzaa au kubadilika.
 
Kwa msingi huo, si lazima [[dhana]] ya [[mageuko ya spishi]] ipingane na [[imani]] katika uumbaji.
 
==Uumbaji katika Biblia==
 
Uumbaji unasimuliwa katika sura mbili za kwanza za [[Kitabu cha Mwanzo]]. Kama vile sehemu mbalimbali za [[Biblia]], kitabu hicho kilitungwa kwa kushona pamoja maandishi tofauti. Ndiyo sababu tunakuta masimulizi mawili juu ya Mungu kuumba [[ulimwengu]] na watu.
 
===Simulizi la Kwanza===
 
La kwanza (1:1-2:4a) linamchora Mungu akifanya kazi kama [[binadamu]] kwa siku sita halafu kustarehe. Aliumba kila kitu kwa Neno lake ([[Eb]] 11:3; ndiye Mwanae pekee: [[Yoh]] 1:1-18). Wengine wanaona humo hata kidokezo cha kwanza cha [[Roho Mtakatifu]], aliye [[upendo]] wa Mungu, katika [[upepo]] uliovuma juu ya wingi wa [[maji]].
 
Mungu aliona kila alichokiumba ni chema tu, lakini alipoumba mtu katika [[jinsia]] mbili akaona ni mwema sana, ni bora kuliko vingine, akamweka kuvitawala kwa niaba yake.

[[Mwanamume]] na [[mwanamke]] wana [[hadhi]] sawa kwa kuwa wote wawili ni sura na mfano wake, si upande wa [[mwili]], bali hasa kwa [[roho]] yenye uwezo wa kuelewa na kupenda kwa[[ hiari]].

Muumba anataka watu washirikiane na kusaidiana, kilele cha uhusiano wowote kati yao ni [[ndoa]] inayowafanya kuwa mwili mmoja kama [[Kristo]] na [[Kanisa]] ([[Ef]] 5:31-32).
 
===Simulizi la Pili===
 
Simulizi linalofuata ([[Mwa]] 2:2b-25) ni la zamani zaidi, nalo pia lina mafundisho makuu juu ya Mungu na mtu, hasa kwamba huyo ndiye [[kiumbe]] bora anayeweza kushirikiana na Mungu, tofauti na vingine.
 
Hali yake asili ilikuwa ya kupendeza kabisa kwa [[usafi wa moyo]] na [[uhai]] usio na mwisho, naye alitakiwa akubali [[kazi]] za Mungu na kufuata maneno yake, bila ya kujiamulia nini jema, nini baya.
 
Kumbe, alifanya tofauti akaharibika na kuathiri ulimwengu mzima.
Hali yake asili ilikuwa ya kupendeza kabisa kwa usafi wa moyo na uhai usio na mwisho, naye alitakiwa akubali kazi za Mungu na kufuata maneno yake, bila ya kujiamulia nini jema, nini baya.
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Biblia]]
[[Jamii:Mungu]]
 
[[az:Yayguçı]]