Gaziantep : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza nn:Gaziantep
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza kk:Газиантеп; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Gaziantep''' ([[Kiosmani Kituruki]]; ''Ayintap''), jina la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama; '''Antep''') ni jina la kutaja mji mkuu wa [[Jimbo la Gaziantep]] nchini [[Uturuki]]. Mji huu unatazamika kama moja kati ya miji ya kale duniani ambayo hadi leo bado inakaliwa.
 
Mji huu unavituo viwili vya utawala wa wilaya zake, [[Şahinbey]] na [[Şehitkamil]], na una kaliwa na wakazi wapatao 1,237,874<ref name="Turkey pop 2007">[http://www.tuik.gov.tr/jsp/duyuru/upload/adnks_Harita_TR/HaritaTR.html Türkiye istatistik kurumu] Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.</ref> (2007) na una kilomita za mraba zipatazo 2,138.<ref name="Statoids Turkey districts">[http://www.statoids.com/ytr.html Statoids, Districts of Turkey] Retrieved on 2008-03-21.</ref>
Mstari 5:
Huu ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Uturuki na ndiyo mji mkubwa katika Anatolia ya Kusini-Mashariki - Uturuki.
 
== Jina la mji ==
Mji ulikuwa ukijulikana na [[Ugiriki ya Kale|Wagiriki wa Kale]] na [[Dola la Roma|Waroma]] kama '''Doliche''' au ''Dolichenus'' (Kituruki: Dülük). Waarabu, [[:en:Seljuk Turks|Waseljuk]], [[Dola la Osmani|Waosma]] walilijua kama '''ʿAintab''' au '''Aïntab''', ambalo linatokana na Kiarabu ''Ayn'' (chemchem) na ''tab'' (nzuri).
 
Tangu tar. [[8 Februari]], [[1921]],<ref>[[:en:Grand National Assembly of Turkey|Bunge la Uturuki]] lilitoa jina la mji kuwa ni ''[[Ghazw|Gazi]]'' ("shujaa mshindi") mnamo [[8 Februari]], [[1921]] (on the day of its surrender to [[France|French]] troops and in recognition of long resistance and the valor of its inhabitants during the [[Franco-Turkish War]] phase of the [[Vita vya Uhuru wa Uturuki]],{{cite web | url = http://www.kultur.gov.tr/EN/BelgeGoster.aspx?17A16AE30572D3130239EEA0FCDF038BE02233C478ECCCA1 Chronology of Atatürk's life and the Turkish War of Independence | title = 1921 chronology |author=|publisher= [[Turkish Ministry of Culture]]| accessdate=|language=Turkish}} and the city officially took the name ''Gaziantep'' ("Antep the Veteran"). {{cite web | url = http://www.tbmm.gov.tr/develop/owa/tutanak_b_sd.birlesim_baslangic?P4=19842&P5=H&page1=3&page2=3 TBMM | title = Records |author= |publisher= [[Turkish Grand National Assembly]] | accessdate=|language=Turkish}}</ref>. Mji ulipewa jina rasmi la '''Gaziantep''', [[gazi]] kwa Kiarabu linamaana mkongwe.
 
== Historia ==
==Marejeo ==
{{reflist}}
Mstari 57:
[[ja:ガズィアンテプ]]
[[ka:გაზიანთეფი (ქალაქი)]]
[[kk:Газиантеп]]
[[kl:Gaziantep]]
[[ko:가지안테프]]