Hadithi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Aina za hadith hadi Hadithi: Kichwa kinachofaa kwa makala
No edit summary
Mstari 1:
'''Hadithi''' ni sehemu ya [[fasihi]]. Hasa kuna aina mbili za hadithi:
Aina za hadthi
a]*hadithi za kubuni,
b]*hadithi za kihistoria.
 
==Hadithi za kubuni==
HADITH ZA KUBUNI
wahusika# '''Ngano za mazimwi''': Wahusika wakuu huwa mazimwi ambao hupewa sifa zinzowatenga na binadamu wengine wa kawaida.
1. ngano za mazimwi
# '''Ngano za mashujaa''': Husimulia visa na vitendo na matukio ya kishujaa yanayohuhusiana na shujaa wa jamii fulani.
wahusika wakuu huwa mazimwi ambao hupewa sifa zinzowatenga na binadamu wengine wa kawaida.
# '''Ngano za usuli''': Hutoa asili au chanzo cha jambo.
2. Ngano za mashujaa,
# '''Hekaya''': Hizi ni hadithi za kijanja...mhusika mmoja rafiki wa wengine hupitia njia ya ila na ujanja.
Husimulia visa na vitendo na matukio ya kishujaa yanayohuhusiana na shujaa wa jamii fulani.
# '''Ghurufa''': Wahusika huwa wanyama waliowakilisha wanadamu wenye sifa za wanadamu hao.
3.Ngano za usuli.
# '''Ngano za kimafumbo''': Huwa na mafumbo yenye maana nyingine ya ndani.
Hutoa asili au chanzo cha jambo.
 
4. Hekaya.
[[Jamii:Fasihi]]
Hizi ni hadithi za kijanja...mhusika mmoja rafiki wa wengine hupitia njia ya ila na ujanja.
 
5. Ghurufa
[[en:Story]]
Wahusika huwa wanyama waliowakilisha wanadamu wenye sifa za wanadamu hao.
6 Ngano za kimafumbo.
Huwa na mafumbo yenye maana nyingine ya ndani.