Walarasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza nn:Kvalross
No edit summary
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = Nguva aktikiWalarasi
| picha = Noaa-walrus22.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo ya picha = [[Nguva aktikiWalarasi wa Pasifiki]] ''Odobenus rosmarus divergens''
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
Mstari 12:
| nusuoda = [[Caniformia]] <small>(Wanyama kama [[mbwa]])</small>
| familia ya juu = [[Pinnipedia]] <small>(Wanyama wenye miguu kwa umbo wa pezi)</small>
| familia = [[Odobenidae]] <small>(Wanyama walio na mnasaba na [[nguva aktikiwalarasi]])</small>
| nusufamilia =
| jenasi = ''[[Odobenus]]''
Mstari 23:
* ''O. r. rosmarus''
}}
[[Picha:Odobenus_rosmarus_distribution.png|thumb|250px|right|Ramani inayoonyesha usambazaji wa nguva aktikiwalarasi (zambarau)]]
 
'''Nguva aktikiWalarasi''' au(kutoka '''sili-pembe'''[[Kiingereza|Kiing.]]: (''Odobenus rosmarus[[w:Walrus|walrus]]'', pia huitwa: '''walrosinguva aktiki''' kutokaau [[Kiingereza|Kiing.]]'''sili-pembe'''; [[w:Walrus|walrusKisayansi]]: ''Odobenus rosmarus'') ni [[mnyama]] mkubwa wa [[Bahari ya Aktiki]] anayefanana na [[nguva]] wa kawaida mwenye meno mawili marefu, yanayoitwa pembe pia, kama [[tembo]].
 
==Etimolojia==
Jina la "nguva aktiki" linatoka neno la nguva kwa sababu mara nyingi mnyama huyu amechanganyikwa na nguva halisi. Huitwa "sili-pembe" kwa sababu mnyama huyu ana mnasaba na [[sili]] (wako pamoja katika kundi la kitaxonomia la Pinnipedia). Neno la "walrosiwalarasi" linatoka neno la Kiingereza "walrus" litokalo labda maneno ya [[Kiholanzi]] "walvis" ([[nyangumi]]) na "ros" ([[farasi]]) lakini inawezekana zaidi kwamba ''walrus'' linatoka neno la [[Kinorwei]] cha Kale "hrossvalr". Jina la "nguva aktiki" linatoka neno la nguva kwa sababu mara nyingi mnyama huyu amechanganyikwa na nguva halisi. Huitwa "sili-pembe" kwa sababu mnyama huyu ana mnasaba na [[sili]] (wako pamoja katika kundi la kitaksonomia la Pinnipedia).
 
==Anatomia==
[[Kifuko cha hewa|Vifuko vya hewa]] chini ya koo shingoni mwa nguva aktikiwalarasi, shingo lililo fupi na nene, vifuko hivyo vina uwezo wa kuvimba na hewa ili kumpa uwezo wa kuelea wima na kichwa chake juu ya maji. Pia vinatumiwa kama vyumba vya mvumo vinavyotoa sauti kama kengele chini ya maji. Kinyume ya vikono vya nyuma, haya ni marefu kama yaliyo mapana, lakini yana unene na gegedu na vidole vitano kama vikono vya nyuma. Wanapoogelea, yanatumiwa mara kwa mara kupiga kasia katika mwendo ulio chini lakini mara nyingine hutumiwa kuelekeza. Masikio yao madogo yana kunyanzi ya ngozi nje yao ili kufanya vichwa vyao vinyooke ili waogelee vyema zaidi majini. Nguva aktikiWalarasi ni mdogo kuliko [[tembo-bahari]] aliye mkubwa kabisa kati ya [[Pinnipedia]] (wanyama wenye miguu-mapezi).
 
===Pembe===
Zimeundwa na dentini, [[Pembe (anatomia)|pembe]] za nguva aktikiwalarasi ni ndefu sana na ni meno yanayoendelea kukua. Hazitumiwi kuchimbia chakula lakini huwapea usaidizi mwingi wanapojikokota [[barafu]]ni au ardhini. Pia zinatumiwa kuonyesha utawala na cheo.
 
===Ngozi===
Ngozi ni ya hudhurungi yenye kunyanzi inayoonekana kama inabadilisha rangi kulingana na halijoto, kwa sababu wakati anapohisi joto, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi huongezeka ili kumpoza. Tendo hili humpatia nguva aktikiwalarasi sura nyekundunyekundu na huonekana kama ana madoadoa. Anapohisi baridi, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi hupunguzika, kumpatia sura ya kukwajuka. Tabaka ya [[shahamu]] kubwa iliyo na upana wa hadi sentimita 15 inayomkinga kutoka kwa baridi.
 
===Sharubu===
Line 44 ⟶ 45:
 
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = nguva, sili | lugha = Kiswahili | maneno_ya_jaribio = nguva aktiki, sili-pembe}}
{{Jaribio1| maneno_ya_asili = walrus | lugha = Kiingereza | maneno_ya_jaribio = walrosiwalarasi}}
 
[[Jamii:Sili na jamaa]]