Maksai aktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Uainishaji | rangi = #D3D3A4 | jina = Maksai aktiki | picha = Ovibos_moschatus_qtl3.jpg | upana_wa_picha = 250px | maelezo_ya_picha = | domeni = | hima...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:34, 24 Septemba 2012

Maksai aktiki

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Nusufamilia: Caprinae (Wanyama wanaofanana na mbuzi)
Jenasi: Ovibos (Maksai aktiki)
(Blainville, 1816)
Spishi: O. moschatus
(Eberhard August Wilhelm von Zimmermann, 1780)

Maksai aktiki (pia huitwa Maksai maski kutoka Kiing.: muskox) ni mnyama wa Aktiki wa jenasi Ovibos mwenye manyoya mengi na harufu ya maski. Maksai aktiki wanaishi maeneo ya Aktiki ya Kanada na Grinlandi, na pia nchini mwa Uswidi, Siberia na Norwe.