Tofauti kati ya marekesbisho "Mkondo wa bahari"

139 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(New page: thumb|300px|Mikondo ya Bahari '''Mkondo wa bahari''' ni mwendo mfululizo wa maji ndani ya bahari. Ni kama mto ndani ya bahari. Maji ya mkondo huwa n...)
 
[[image:Ocean currents 1911.jpg|thumb|350px|Mikondo ya Bahari (nyekundu: mkondo yabeba maji yenye moto zaidi kuliko bahari ya mazingira; buluu: mkondo hubeba maji baridi kulingana na mazingira)]]
[[inage:Meeresstroemungen.jpg|thumb|300px|Mikondo ya Bahari]]
'''Mkondo wa bahari''' ni mwendo mfululizo wa maji ndani ya [[bahari]]. Ni kama [[mto]] ndani ya bahari. Maji ya mkondo huwa na halijoto tofauti na maji ya mazingira.
 
 
==Mikondo muhimu==
Mikondo ya bahari yaenedelea kwa maelfu ya kilomita. Ina athira kubwa kwa hali ya hewa. Mfano bora ni [[mkondo wa ghuba]] unaosukuma maji yaliyozizimuliwa kutoka [[Karibi]] hadi [[Atlantiki]] ya Kaskazini]]kaskazini ikisabaishaikisababisha hali ya hewa ya [[Ulaya]] kuwa na joto zaidi kulingana maeneo ya [[Siberia]] au [[Kanada]] kwenye [[latitudo]] ileile.
 
Mfano mwingine ni pwani la [[Namibia]] ambako [[mkondo wa Benguela]] husababisha kutokea kwa [[jangwa]] la [[Namib]].