Mkoa wa Njombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza it:Distretto di Njombe
d tarehe ya kuanzisha wilaya ya Wanging'ombe
Mstari 6:
Mwaka [[2002]] katika eneo hilo kulikuwa na wakazi 654,929 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/iringa.htm] katika wilaya zifuatazo: [[Wilaya ya Makete|Makete]] (wakazi 106,061), [[Wilaya ya Njombe|Njombe]] (wakazi 420,348), [[Wilaya ya Ludewa|Ludewa]] (wakazi 128,520).
 
Kutokana na hadhi mpya, wilaya ya Njombe imegawanyika kati ya ile ya mjini na ile ya vijijini. Pia, mwezi wa Machi 2012, imeanzishwa [[wilaya ya Wanging'ombe]].
 
Makao makuu yako [[Njombe (mji)|Njombe mjini]].