Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 23:
===Maendeleo ya ugonjwa===
Mafua kwa kawaida huanza na uchovu, hali ya kusikia baridi, kupiga chafya, na maumivu ya kichwa. Dalili zingenezo ni kama vile pua inayotoa makamasi na kikohozi huanza baada ya siku mbili au zaidi. <ref name=E24/> Dalili huwa zinakuwa mbaya siku mbili au tatu baada ya kuambukizwa. <ref name=Eccles2005/> Dalili hizo kwa kawaida huendelea kwa siku saba hadi siku kumi, lakini hueza kuendelea hadi wiki tatu
==Visababishi==
|