Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 40:
==Maambukizo mengine==
 
Kinga ya kikundi, ni kinga ambayo hutokea wakati kikundi kizima cha watu kina kinga ya mwili na maambukizi haswa baada ya kupata maambukizo awali.Hivyo watoto wana uwezo mkubwa wa kuambukizwa na maradhi yanayohusiana upumuaji na watu wazima wana uwezo mdogo wa kuambukizwa na maradhi yanayohusiana upumuaji <ref name= E78 /> Upungufu wa kinga pia unaongeza hatari ya kuambukizwa ugonjwa <ref name= E78 /> <ref> Eccles PG... 166 </ ref> Ukosefu wa usingizi na lishe duni pia zinaleta hatari kubwa ya kuendeleza maambukizi yanayoletwa na rhinovirus. Hii inatokana na athari inayoletwa na virusi ya kupunguza kinga ya mwili <ref>{{cite journal |author=Cohen S, Doyle WJ, Alper CM, Janicki-Deverts D, Turner RB |title=Sleep Habits and Susceptibility to the Common Cold |journal=Arch. Intern. Med. |volume=169 |issue=1|pages=62–7|year=2009 |month=January |pmid=19139325 |doi=10.1001/archinternmed.2008.505 |pmc=2629403}}</ref><ref>Eccles Pg.160–165</ref>
 
==Pathofisiolojia==