Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 36:
===Hali ya hewa===
 
Tangu zamani mafua yanakisiwa kwamba yanaenezwa kwa mtu aliyepatwa na baridi kwa muda mrefu wakati wa mvua au wakati wa msimu wa baridi, na ndio maana yanaitwa mafua ya baridi <ref>{{cite news |author=Zuger, Abigail |title='You'll Catch Your Death!' An Old Wives' Tale? Well... |newspaper=[[The New York Times]] |date=4 March 2003 |url=http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9D02E1DD163FF937A35750C0A9659C8B63}}</ref> Kuna mabishano kwamba wajibu wa mwili kuwa katika hali ya baridi unaleta hatari ya kupata mafua <ref name="Mourtzoukou">{{cite journal|last=Mourtzoukou|first=EG|coauthors=Falagas, ME|title=Exposure to cold and respiratory tract infections.|journal=The international journal of tuberculosis and lung disease : the official journal of the International Union against Tuberculosis and Lung Disease|date=2007 Sep|volume=11|issue=9|pages=938–43|pmid=17705968}}</ref> Baadhi ya virusi vinavyosababisha homa ya kawaida hujitokeza mara kwa mara wakati wa msimu wa baridi au mvua. <ref> Eccles Pg.79 </ ref> Ingawa hii inaaminika kuwa ni kwa sababu watu wanakaa pamoja ndani ya nyumba kwa muda mrefu;.. <ref> Eccles Pg.80 </ref> haswa watoto wanaorudi shuleni <ref name= Text2007/> Hata hivyo, inaweza pia kuwa ni kwa sababu ya mabadiliko ya hewa ambayo yanarahisisha maambukizi <ref> Eccles Pg.80 </ref> Upungufu wa unyevu unaweza kuongeza viwango vya maambukizi kutokana na hewa kavu kuruhusu vitone vidogo kuenea kiurahisi kusambaza mbali zaidi na kukaa angani kwa muda mrefu <ref> Eccles PG.. 157 </ref>
 
==Maambukizo mengine==