Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 29:
[[Image: Coronaviruses 004 lores.jpg | thumb | Coronavirus ni vikundi vya virusi vinavyojulikana kusababisha mafua ya kawaida. Kimaumbile wana nuru, au taji (kitaji) kama inavyoonekana chini ya darubini elektroniki.]]
 
Mafua ya kawaida yanaambukiza kirahisi kwa kupitia njia ya hewa. Virusi aina ya rhinovirus ndio vinavyosababisha mafua ya kawaida. Ndio vinavyosababisha asilimia 30% hadi 80% ya mafua ya kawaida. Virusi aina ya rhinovirus vina RNA ya familia ya Picornaviridae. Kuna aina 99 inayojulikana ya virusi katika familia hii ya virusi <ref>{{Cite journal | doi = 10.1126/science.1165557 | title = Sequencing and Analyses of All Known Human Rhinovirus Genomes Reveals Structure and Evolution | year = 2009 | author = Palmenberg, A. C. | journal = Science | pmid = 19213880 | volume = 324 | pages = 55–9 | last2 = Spiro | first2 = D | last3 = Kuzmickas | first3 = R | last4 = Wang | first4 = S | last5 = Djikeng | first5 = A | last6 = Rathe | first6 = JA | last7 = Fraser-Liggett | first7 = CM | last8 = Liggett | first8 = SB | issue = 5923}}</ref><ref>Eccles Pg.77</ref> Virusi nyingine pia husababisha mafua ya kawaida. Coronavirus husababisha asilimi 10% hadi 15% ya mafua. Mafua (homa) husababisha 5% hadi 15% ya mafua <ref. name= Eccles2005/> Mafua mengine yanaweza kusababishwa na virusi vya binadamu vya parainfluenza, virusi vya binadamu vya njia ya hewa viitwavyo syncytial virusi aina ya adenoviruses, enterovirus, na metapneumovirus. <ref name="NIAID2006">{{cite web | title = Common Cold | publisher =[[National Institute of Allergy and Infectious Diseases]] | date = 27 November 2006 | url = http://www3.niaid.nih.gov/healthscience/healthtopics/colds/| accessdate = 11 June 2007}}</ref> Mara nyingi, huwa kuna zaidi ya aina moja ya virusi vinavyosababisha maambukizi <ref> Eccles. Pg.107 </ref> Kawaida huwa kuna zaidi ya aina mia mbili ya virusi tofauti vinavyohusiana na homa. <ref name= Eccles2005/>
 
==Uenezaji==