Ufilipino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza bxr:Филиппин
viungo
Mstari 63:
 
Nchi iliitwa kwa jina la Kihispania ''"Las Islas Filipinas"'' (Visiwa vya Filipo) na [[Ruy López de Villalobos]] kwa heshima ya mfalme [[Filipo II wa Hispania]].
Hispania ilitwala eneo tangu 1565 hadi [[Mapinduzi ya Ufilipino wa 1896]]. [[Marekani]] ilitwaa visiwa [[1898]] katika vita ya [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kuvitawala kama koloni hadi [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati Ujaponi[[Japoni]] ikatwaa nchi kwa miaka minne.
 
Baada ya vita Ufilipino ikapewa uhuru wake.
 
Wakazi wengi wa Ufilipino hufuata Ukristo wa Kikatoliki (zaidi ya 80%) ambao ni urithi wa athira ya Kihispania. Lugha ya Kiingereza iliachwa na Marekani kama lugha rasmi pamoja na [[Kifilipino]]. Athira ya Kiislamu huonekana hasa kwenye kusini ya kisiwa cha [[Mindanao]] kwa jumla 5% za Wafilipino ni Waislamu wa dhehebu la [[Sunni]].
 
=== Siasa na serikali ===
Mstari 100:
 
== Jiografia ==
Ufilipino ina visiwa 7,107 vinavyohesabiwa katika kundi tatu zinazoitwa kufuatana na kuwa karibu na visiwa vikubwa vya:
* [[Luzon]]
* [[Visaya]]