Hildegarda wa Bingen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza lij:Ildegarda de Bingen
No edit summary
Mstari 2:
'''Hildegarda wa Bingen, [[O.S.B.]]''' ({{lang-de|link=no|Hildegard von Bingen}}; kwa [[Kilatini]] Hildegardis Bingensis) alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka [[Ujerumani]] wa leo ([[Bermersheim vor der Höhe]], [[Dola Takatifu la Kiroma]], [[1098]] hivi<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 9.</ref> - [[Bingen am Rhein]] [[17 Septemba]] [[1179]]).<ref>Bennett, Judith M. and Hollister, Warren C. ''Medieval Europe: A Short History'' (New York: McGraw-Hill, 2001), 317.</ref>
 
Toka zamani [[abesi]] huyo anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] kama [[mtakatifu]]. [[Papa Benedikto XVI]] amethibitishaalithibitisha [[utakatifu]] wake tarehe [[10 Mei]] [[2012]] na kumtangaza [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[7 Oktoba]] 2012.<ref>[http://www.uscatholic.org/news/2012/05/pope-recognizes-hildegard-saint-advances-causes-us-bishop-nun Catholic News Service]</ref><ref>[http://www.catholicculture.org/news/headlines/index.cfm?storyid=14287 Vatican newspaper explains 'equivalent canonization' of St Hildegard of Bingen]</ref> [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[17 Septemba]].
 
==Maisha==
Mstari 230:
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{Walimu wa Kanisa}}
 
[[Category:Waliozaliwa 1098]]
Line 242 ⟶ 244:
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Category:Watakatifu wa Ujerumani]]
[[Jamii:Walimu wa Kanisa]]
 
{{Link FA|pt}}